RAIA 600 WA AFGHANISTAN WALIDANDIA NDEGE YA MAREKANI.

Idadi hiyo ya Watu inatajwa kuwa zaidi ya mara tano ya uwezo wa Ndege kubeba abiria na moja ya idadi kubwa zaidi kuwahi kubebwa katika ndege hiyo aina ya Boeing C-17 Globemaster III Imeelezwa kuwa raia hao wa Afghanistan walitumia mlango wa Nyuma ili kudandia Ndege hiyo ya kimarekani wakijaribu kukimbia nchi hiyo iliyoingia chini